Thursday, June 18, 2015

Saturday, February 21, 2015

Hebu mcheki dogo chapombe


Stop albino killings"

Hv ndo tusemelikali imeshindwa kusaidia hawawezetu au tusemeje maana  kilasiku tunaishia kulaani vibaya hatuoni  jihtihada zamakusudi kwaajiri  yakufanyamsako wahawa mbwa wanao umiza nduguzetu  wasiwasi wangu nihuu wakimariza kwahawa watahamia kwanani? Isije ikawa kwako au kwangu kilasiku tunasikia nchiyaamani hiyo amani nikwajiri yachache   hadisasa albino hana amani nani atamsaidia albino?  ACHENI IMANI POTOFU albino kamawewe piana haki yakuishi jamani  sto albino killings

Sunday, December 28, 2014

Tuzo Walizoshinda @VanessaMdee Na @diamondplatnumz Zilizofanyika Nigeria.

vanessa mdee tuzo
Mtangazaji/Msanii Vanessa Mdee na  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamewakilisha vizuri Tanzania kwa kushinda tuzo zingine kubwa Nigeria za AFRIMA.
Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female Artist in East Africa [Msanii bora wa kike Afrika Mashariki ] huku Diamond akishinda Tuzo Ya Best Male Artist in East Africa [ Msanii bora wa kiume Africa Mashariki] . Tuzo ya Diamond ilipokelewa na Peter Msechu ambaye pia alikuwa kwenye kuwania tuzo hizo.
vanessa mdee tuzo 3
peter 2 peter 3

Hongera kwao na Peter Msechu kwa kuwakilisha vizuri.