Saturday, February 21, 2015
Stop albino killings"
Hv ndo tusemelikali imeshindwa kusaidia hawawezetu au tusemeje maana kilasiku tunaishia kulaani vibaya hatuoni jihtihada zamakusudi kwaajiri yakufanyamsako wahawa mbwa wanao umiza nduguzetu wasiwasi wangu nihuu wakimariza kwahawa watahamia kwanani? Isije ikawa kwako au kwangu kilasiku tunasikia nchiyaamani hiyo amani nikwajiri yachache hadisasa albino hana amani nani atamsaidia albino? ACHENI IMANI POTOFU albino kamawewe piana haki yakuishi jamani sto albino killings
Subscribe to:
Posts (Atom)