Tuesday, December 30, 2014
Sunday, December 28, 2014
Tuzo Walizoshinda @VanessaMdee Na @diamondplatnumz Zilizofanyika Nigeria.
Mtangazaji/Msanii Vanessa Mdee na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
wamewakilisha vizuri Tanzania kwa kushinda tuzo zingine kubwa Nigeria za
AFRIMA.
Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female Artist in East Africa [Msanii bora wa kike Afrika Mashariki ] huku Diamond akishinda Tuzo Ya Best Male Artist in East Africa [ Msanii bora wa kiume Africa Mashariki] . Tuzo ya Diamond ilipokelewa na Peter Msechu ambaye pia alikuwa kwenye kuwania tuzo hizo.
Hongera kwao na Peter Msechu kwa kuwakilisha vizuri.

Ludacris amchumbia girlfriend wake raia wa Gabon kwa ‘style’
Hatimaye rapper Ludacris amemchumbia girlfriend wake wa miaka minne, Eudoxie Fabiola Agnan.

Kufanya hivyo, rapper huyo alichukua ndege binafsi hadi Costa Rica akiwa na watu wake wa karibu akiwemo binamu yake Monica na mumewe Shannon Brown.

Wakati ndege hiyo ipo juu ya uwanja wa mkubwa, Eudoxie aliangalia chini na kuona maneno: Eudoxie, Will You Marry Me”yaliyokuwa yamechorwa kwenye majani.

Eudoxie alizaliwa nchini Gabon kwenye familia ya kawaida na mama aitwaye Jermaine Agnan. Alihamia Marekani mwaka 2001 akiwa na miaka 15.

Eudoxie akiwa na mama yake enzi za utoto

Alicia Keys na Swizz Beatz wapata mtoto wa pili wa kiume
Muimbaji Alicia Keys aliyekuwa mjamzito na mumewe Swizz Beatz wamepata mtoto wa pili aliyezaliwa Jumamosi Dec 27.

Wanandoa hao wametangaza kupitia Instagram kuwa mtoto wao wa pili aliyezaliwa ni wa kiume na wamempa jina la Genesis Ali Dean.
Keyz na Beatz walifunga ndoa mwaka 2010 na kufanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume aitwaye Egypt miezi miwili baada ya ndoa.

Saturday, December 27, 2014
Kanye West ana wivu na mafanikio ya Taylor Swift
Ni miaka sita tangu Kanye West ampokonye microphone Taylor Swift
alipokuwa akipokea tuzo ya Best Female Video kwenye MTV Video Music
Awards lakini bado hakumbali.

Imedaiwa kuwa Kanye haelewi inakuaje Taylor amekuwa na mafanikio makubwa hadi leo na hiyo inamsumbua kiasi cha kumpa hasira nyingi.
Yeezy anadaiwa kuchukia baada ya kubaini kuwa video ya wimbo wa Taylor ‘Shake It Off’ imeangaliwa mara nane zaidi kwenye YouTube kuzidi yake ya ‘Bound 2′.
Kanye anadaiwa kuchukia zaidi baada ya kubaini kuwa Jay Z amekataa kumhusisha kwenye mipango yake ya muziki na Taylor, Beyonce wala Justin Timberlake.

Madee atoa sababu ya kubadili ratiba ya ujio mpya wa Dogo Janja
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Madee ambaye aliwaahidi
mashabiki wa kundi hilo kuwa Dogo Janja ataachia wimbo hivi karibuni,
amedai ameahirisha mpango huo kutokana na kuingiliana kwa ratiba
nyingine.

Akizungumza na Junior kaguo leo, Madee amesema imelazimika Dogo Janja asubiri kwakuwa kuna wimbo aliofanya akiwa na Chege na Temba Afrika Kusini unayohitajika kutoka mapema zaidi.
“Kuna mabadiliko kidogo ambayo yameingiliana,” amesema rapper huyo. “Kuhusu Dogo janja bado kidogo yupo ningependa kuzungumzia ratiba inayofuata ya Madee, kwa sababu kuna project ambayo tulienda kufanya South Africa kule inatakiwa itoke mapema Januari kwahiyo hicho ndo kitu ambacho kinaangaliwa sana. Then Dogo Janja atakuja pamoja na Raymond. Kwahiy mwakani itatangulia kwanza nyimbo ya Madee na baada ya hapo ndo Dogo Janja atakuja.”

Picha,Cristiano Ronaldo Azindua Sanamu Lake huko Ureno
Cristiano Ronaldo ameizindua sanamu yake ya heshima aliyojengewa huko Medeira Ureno juzi 21 Dec 2014,
hii imekuja siku moja baada ya mchezaji pekee duniani kuweza kushinda
makombe yote kwa ngazi ya klabu katika vilabu viwili tofauti.
Monday, December 22, 2014
Sunday, December 21, 2014
Mungu kilaalicho kiumba alikuwa namakusudinacho
Ukitazama pichahii unajifuza nini huyuni mbwa ambaye wengi tuna mtumia kwaajiri
yaulizi
lakini
bilakujua kuwaanaweza mdamwingine anaweza kukupa msaada zaidi ya ulizi

Subscribe to:
Posts (Atom)